Logo Lanfrica
  • Home
  • Atlas
  • Insights
  • Docs
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. All rights reserved. All copyrights of the resources shown on the Lanfrica website belong to the original copyright holders, unless explicitly stated otherwise.

Fonolojia ya Nomino na Vitenzi katika Kimochi

Domain:

natural language processing

Record type:

paper
Creator:
ShuClaJosChu
Publisher:
Uni
Host:
Makala haya yamelenga katika kufafanua vipengele anuwai vya fonolojia vipande sauti vya lugha ya Kimochi. Miongoni mwa vipengele vya kifonolojia vilivyoangaziwa ni irabu, konsonanti, muundo wa silabi, na michakato ya kifonolojia kwa kutumia nadharia ya vipande sauti Huru, iliyoasisiwa na Chomsky na Halle (1968). Data zilizotumika zimekusanywa uwandani katika vijiji viwili vya Mori na Mbokomu vilivyo katika wilaya ya Moshi vijijini, mkoa wa Kilimanjaro. Kama ilivyo katika lugha nyingi za Kibantu, imeonekana kwamba Kimochi kina jumla ya irabu tano (5) na konsonanti thelathini na moja (31) na kwamba michakato mbalimbali inayojitokeza katika Kimochi ni majumui. Hivyo makala haya yatasaidia kwa wanaisimu linganishi kuona mfanano wa vipengele vilivyoshughulikiwa humu na vile vinavyojitokeza katika lugha nyingine za kibantu.

Visit

doi.org

Languages

AmbaHayaKwaMochi

Similar

Ulinganishi Wa Fonolojia Ya Kiswahili Na Fonolojia Ya KiarabuNafasi ya Leksikoni yenye Vipashio Ghairi kutoka Kiingereza na Kiarabu katika Fonolojia ya Leksikoni ya Kiswahili SanifuMapokezi ya Nomino za Kiswahili katika Ngeli za Nomino za GᴉrᴉmiMABADILIKO YA KIHISTORIA KATIKA FONOLOJIA YA KISWAHILI: UDONDOSHAJI WA FONIMUUjinsi wa nomino za mkopo katika lugha ya KiswahiliUtata wa Baadhi ya Viambishi Tamati katika Vitenzi vya Kiswahili

Ulinganishi Wa Fonolojia Ya Kiswahili Na Fonolojia Ya Kiarabu

Makala haya yanalenga kulinganisha mifumo ya fonolojia ya lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiarabu. Ka

Nafasi ya Leksikoni yenye Vipashio Ghairi kutoka Kiingereza na Kiarabu katika Fonolojia ya Leksikoni ya Kiswahili Sanifu

Makala haya yanahusu ubainishaji wa nafasi ya leksikoni ya mkopo yenye vipashio ghairi katika leksik

Mapokezi ya Nomino za Kiswahili katika Ngeli za Nomino za Gᴉrᴉmi

Ikisiri Lengo la makala hii ni kuonesha jinsi nomino za Kiswahili zinavyokopwa ili kukidhi mawasil

MABADILIKO YA KIHISTORIA KATIKA FONOLOJIA YA KISWAHILI: UDONDOSHAJI WA FONIMU

Ujinsi wa nomino za mkopo katika lugha ya Kiswahili

Masculine, the world languages are generally categorized into two categories; masculine language, fe

Utata wa Baadhi ya Viambishi Tamati katika Vitenzi vya Kiswahili

Baadhi ya viambishi tamati katika vitenzi vya Kiswahili vimechanganuliwa na kuelezwa kwa namna zinaz