Hii ni repository kwajili ya kuendelea kijifunza web technology ikiwemo github kwa vitendo
# π Orodha ya Developers wa Kiswahili
> Mradi wa open source wa kukusanya developers wanaojifunza na kufanya kazi kwa Kiswahili Afrika Mashariki.
---
## π― Mradi Huu ni Nini?
**Orodha ya Developers wa Kiswahili** ni website inayoorodhesha developers wote wanaojifunza coding kwa Kiswahili Afrika Mashariki β Tanzania, Kenya, Uganda, na zaidi.
Kila developer anaongeza **kadi yake mwenyewe** kwa Pull Request β na jina lake linaonekana duniani! π
---
## π Angalia Website Live
π **
codeforlifeacademy.github.io
---
## β Jinsi ya Kujiongeza Orodha
### Hatua ya 1 β Fork Mradi Huu
Bonyeza kitufe cha **"Fork"** juu kulia ya ukurasa huu.
### Hatua ya 2 β Clone Fork Yako
```bash
git clone
github.com
cd swahili-developers
```
### Hatua ya 3 β Tengeneza Branch Yako
```bash
git checkout -b kuongeza-jina-lako
```
### Hatua ya 4 β Unda Faili Yako kwenye developers/
Tengeneza faili mpya: `developers/jina-lako.md`
```markdown
# Jina Lako π¨βπ»
## Kuhusu Mimi
- π **Mji:** Mji Wako, Nchi Yako
- π **Nilianza:** Mwezi Mwaka
- πΌ **Hali:** Inajifunza / Inapatikana / Inafanya Kazi
## Ujuzi Wangu
- π Python
- π HTML
- π¨ CSS
- β‘ JavaScript
- π Git & GitHub
## Miradi Yangu
| Mradi | Teknolojia | Kiungo |
|-------|------------|--------|
| Portfolio | HTML, CSS, JS | Tazama |
| Contact Book | Python | Tazama |
## Viungo Vyangu
- π GitHub:
github.com
- π Portfolio: jina-lako.github.io
## Ndoto Yangu ya Tech
*"Andika ndoto yako ya kutengeneza nini kwa teknolojia..."*
---
*Nimejifunza coding kwa Kiswahili kupitia Code For Life Academy π*
```
### Hatua ya 5 β Ongeza Kadi Yako kwenye index.html
Fungua `index.html`, tafuta sehemu inayosema:
```html
```
Ondoa alama za maoni ` ` na ubadilishe taarifa zako:
```html
π¨βπ»
Jina Lako Hapa
π Mji Wako, Nchi
π Inajifunza
π Python
π HTML
π¨ CSS
"Ndoto yako ya tech hapa..."
π GitHub
π Portfolio
```
> β οΈ **Muhimu:** Badilisha `data-ujuzi`, `data-mji`, n β¦