Logo Lanfrica
  • Home
  • Atlas
  • Insights
  • Docs
  • Sign in

Β© 2026 Lanfrica. All rights reserved. All copyrights of the resources shown on the Lanfrica website belong to the original copyright holders, unless explicitly stated otherwise.

iddykasagula96-cmd/Utamaduni-wa-Tanzania

Domain:

natural language processing

Record type:

software
Creator:
idd
Host:
# πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Utamaduni wa Tanzania β€” Digital Project Mradi huu ni mfumo wa kidijitali ulioundwa kwa ajili ya kutangaza na kuhifadhi urithi wa kitamaduni wa makabila mbalimbali ya Tanzania kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya wavuti. ## πŸš€ Kuhusu Mradi Lengo kuu ni kuwasilisha taarifa za asili kupitia kadi za habari (Information Cards), picha za kitamaduni, na vionjo vya sauti ili kuleta uelewa wa kina kuhusu urithi wetu. ## πŸ› οΈ Teknolojia Zilizotumika Zana zilizotumika katika ujenzi wa mradi huu: * **HTML5** β€” Muundo wa kurasa (Structure). * **CSS3** β€” Urembo na mpangilio wa kishua (Styling & Layout). * **JavaScript (JS)** β€” Utendaji na mifumo ya sauti (Interactivity). * **GitHub Pages** β€” Hosting na kurushia website hewani. ## πŸ“‚ Muundo wa Mafaili (File Structure) * `index.html` β€” Ukurasa mkuu wa mradi. * `Style.css` β€” Faili la urembo na mpangilio. * `script.js` β€” Faili la utendaji wa JavaScript. * `assets/` β€” Folder lenye picha na sauti za asili. ## 🌐 Link ya Website Unaweza kuiona kazi hii ikiwa hewani hapa: πŸ‘‰ Bonyeza hapa kufungua Website --- **Imeandaliwa na:** [Iddy Kasagula] **Technical Status:** Project Live & Active **Mwaka:** 2026

Visit

github.com

Languages

Kwa

Similar

Tafsiri kama Nyenzo ya Kutandawaza Utamaduni wa Mswahili: Mfano wa Siku Njema (1996) na A Good Day (2019)Nafasi ya Kiswahili katika Ujenzi wa Utamaduni wa Uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, KenyaUzoefu wa Walimu wa Kutumia Teknolojia katika Ufundishaji Tanzania.Mchango wa Ujumi Mweusi katika Unusura wa Nyimbo za Muziki wa Dansi wa Tanzania: 1970- 2000Mchango wa Tasinia ya Sheria katika Ukuzaji na Uenezaji wa Kiswahili Tanzania: Mifano kutoka Mahakama ya Tanzania na Taasisi za Wadau wa Sheriaalex166-cmd/malawi_telecom_analytics

Tafsiri kama Nyenzo ya Kutandawaza Utamaduni wa Mswahili: Mfano wa Siku Njema (1996) na A Good Day (2019)

Lengo la makala hii ni kujadili mchango wa tafsiri katika kutandawaza utamaduni wa Mswahili kwa kua

Nafasi ya Kiswahili katika Ujenzi wa Utamaduni wa Uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, Kenya

Swahili Lengo la makala haya ni kupambanua nafasi ya Kiswahili katika ujenzi wa utamaduni wa uongozi

Uzoefu wa Walimu wa Kutumia Teknolojia katika Ufundishaji Tanzania.

This is a Swahili version of the policy briefi Teachers’ Experiences of Teaching With Technology in

Mchango wa Ujumi Mweusi katika Unusura wa Nyimbo za Muziki wa Dansi wa Tanzania: 1970- 2000

Nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania zilianza nchini Tanzania kipindi cha ukoloni. Nyimbo hizi zina

Mchango wa Tasinia ya Sheria katika Ukuzaji na Uenezaji wa Kiswahili Tanzania: Mifano kutoka Mahakama ya Tanzania na Taasisi za Wadau wa Sheria

Kukua na kuenea kwa lugha ya Kiswahili nchini Tanzania kunategemea mambo mbalimbali kama vile kutumi

alex166-cmd/malawi_telecom_analytics

A data analytics and visualization project in DataBricks that provides insights into Malawi's teleco