Tovuti ya lugha ya Swa — mkusanyaji wa kujikusanya wenye sintaksia ya Kiswahili
# lugha-swa.github.io
Tovuti ya shirika la **lugha-swa** — makao rasmi ya lugha ya kupanga ya **Swa**.
Swa ni lugha ya mifumo yenye sintaksia kamili ya Kiswahili, mkusanyaji wa kujikusanya
unaokusanya moja kwa moja hadi msimbo wa mashine.
- Msimbo: lugha-swa/swa
- Tovuti: lugha-swa.github.io
## Kurasa
| Faili | Maelezo |
|---|---|
| `index.html` | Mwanzo |
| `jifunze.html` | Jifunze — mwongozo wa sintaksia |
| `sakinisha.html` | Sakinisha — kujenga na kusanya |
| `jamii.html` | Jamii — kuchangia na viungo |
| `style.css` | Mitindo ya pamoja |
Imetengenezwa Afrika ya Mashariki.