Vet Idea TZ ni mradi wa kidigitali uliogunduliwa mwaka huu na Danson, ukilenga kubadilisha namna wafugaji na wataalamu wa mifugo wanavyopata taarifa Tanzania. Ni jukwaa rahisi lakini la kisasa linalotoa elimu ya afya ya wanyama, magonjwa, chanjo, lishe, na mbinu bora za uzalishaji. Mradi huu unachanganya makala, video, post, na AI
# -Vet-IDEA-TZ