Logo Lanfrica
  • Home
  • Atlas
  • Insights
  • Docs
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. All rights reserved. All copyrights of the resources shown on the Lanfrica website belong to the original copyright holders, unless explicitly stated otherwise.

university-of-dodoma/mboni_ya_takwimu

Creator:
Uni
Host:
Tunaona mbali, takwimu ndo darubini na tutafika tuendako kwa ushirikiano # mboni_ya_takwimu Taasisi mbalimbali hutoa takwimu kwa mambo mbalimbali juu ya jamii, uchumi na utamaduni wa nchi yetu. Lengo kuu la mradi huu ni kuwezesha jamii ya watanzania kuweza kuelewa kwa urahisi takwimu hizi. Tunaamini kwa kuhusianisha takwimu zilizopita na takwimu mpya wananchi wanaweza kuelewa kwa urahisi zaidi tunapotoka, tulipo na tunapokwenda. Tunatarajia kuwa kupitia mradi huu tunaweza tengeneza programu tumishi ambayo itawezesha. 1. Kukusanya takwimu kutoka taasisi mbalimbali na kuzihifadhi pamoja 2. Watumiaji kuweza kuona na kuhusianisha takwimu kwa (timeline) wakati tofauti. 3. Watumiaji kuweza kuchagua seti ya takwimu wanazohitaji kutoka kwenye seti kuu na kupata muonekano wa picha. 4. Watumiaji kuweza kusambaza (share) muonekano wa picha kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii. 5. Watumiaji kuweza kujadili juu ya takwimu kupitia mitandao yao ya kijamii iliyoungwa na programu tumizi hii. Mradi huu tutaufanya kwa njia ya programu tumishi ya wazi(open source program). Kwa njia hii mtu yeyote anaweza kuchangia kutengeneza programu hii. Walengwa hasa wakiwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma. Wanafunzi watapata fursa ya kujifunza kutengeneza programu tumishi kwa ushirikiano kupitia GitHub. Haya ni mawazo ya mwanzo kabisa, njoo tujumuike kuamua nini kifanyike na tukifanye kwa pamoja.

Visit

github.com

Languages

KwaMabaaleUmbundu

Similar

Citation analysis of theses and dissertations submitted to the College of Natural Sciences, University of Dodoma (2011–2023)Identifying and Implementing Relevant Research Data Management Services for the Library at the University of Dodoma, TanzaniaEfficacy of premarital genotype screening and counselling on knowledge toward Sickle Cell disease among university students in Dodoma Tanzania: uncotrolled quasi-experimental studyPrevalence and factors associated with willingness to use oral fluid based HIV self testing among university students in Dodoma region TanzaniaEfficacy of premarital genotype screening and counselling on knowledge toward Sickle Cell disease among university students in Dodoma Tanzania: an uncontrolled quasi-experimental studySediment Yield Prediction in Tanzania:Case study of Dodoma District Catchments

Citation analysis of theses and dissertations submitted to the College of Natural Sciences, University of Dodoma (2011–2023)

Bibliometric studies on postgraduate research in Tanzania remain limited, particularly in the natura

Identifying and Implementing Relevant Research Data Management Services for the Library at the University of Dodoma, Tanzania

This data set presents the results of research conducted at the University of Dodoma, Tanzania. The

Efficacy of premarital genotype screening and counselling on knowledge toward Sickle Cell disease among university students in Dodoma Tanzania: uncotrolled quasi-experimental study

Abstract Background Tanzania is experienci

Prevalence and factors associated with willingness to use oral fluid based HIV self testing among university students in Dodoma region Tanzania

Abstract Background HIV/AIDS remains a significant public health concern, with th

Efficacy of premarital genotype screening and counselling on knowledge toward Sickle Cell disease among university students in Dodoma Tanzania: an uncontrolled quasi-experimental study

Background: Tanzania is experiencing an increasing burden of Sickle cell disease, with anestimate of

Sediment Yield Prediction in Tanzania:Case study of Dodoma District Catchments

Soil erosion and sedimentation is serious and is resulting in rapid sedimentation of streams and res