Logo Lanfrica
  • Home
  • Atlas
  • Insights
  • Docs
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. All rights reserved. All copyrights of the resources shown on the Lanfrica website belong to the original copyright holders, unless explicitly stated otherwise.

Miaka 60 ya Ufundishaji wa Kiswahili nchini China

Domain:

natural language processing

Record type:

paper
Creator:
ChuZha
Publisher:
Uni
Host:
Kozi ya Kiswahili ilianza kufundishwa nchini China tangu mwaka 1960. Katika miaka 60 iliyopita, kozi hiyo imepitia kipindi cha ukuaji (1960-1977), kipindi cha mdororo (1978-1999) na kipindi cha upanuzi (2000-Sasa) pamoja na mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi ya ndani pamoja na uhusiano baina ya China na Tanzania. Makala hii imepitia historia ya ufudishaji wa Kiswahili nchini China kwa ujumla. Pia, imehakiki maendeleo na changamoto zake katika masomo, vitabu vya kiada, walimu na wanafunzi na kutoa mapendekezo ya kuukuza ufundishaji na utafiti wa lugha hii nchini China.

Visit

doi.org

Languages

SwahiliSwahili, CoastalSwahili, Congo

Similar

Uchambuzi wa Maandiko ya Mwalimu Yatokanayo na Mtaala Juu ya Ufundishaji wa Somo la Kiswahili Nchini TanzaniaAina ya Nyenzo Katika Ufundishaji wa Fasihi Simulizi ya Kiswahili Katika Shule za Sekondari Nchini KenyaMatumizi Ya Lakabu Za Wanafunzi Kama Mkakati Wa Kurahisisha Ufundishaji Na Ujifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Nchini TanzaniaHali ya Kipindi cha Kupigania Uhuru na Mabadiliko ya Kimaudhui ya Ushairi wa Kiswahili Kati ya Miaka 1930 Hadi 1960 Nchini TanzaniaViwango vya Matumizi ya Ufundishaji Mahuluti katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu vya Umma Nchini KenyaNafasi ya Nyimbo katika Ufundishaji wa Msamiati wa Kiswahili kwa Watoto wa Elimu ya Awali

Uchambuzi wa Maandiko ya Mwalimu Yatokanayo na Mtaala Juu ya Ufundishaji wa Somo la Kiswahili Nchini Tanzania

Ikisiri Makala hii inachambua baadhi ya maandiko muhimu yatokanayo na mtaala kwa kutoa ufafanuzi w

Aina ya Nyenzo Katika Ufundishaji wa Fasihi Simulizi ya Kiswahili Katika Shule za Sekondari Nchini Kenya

Madhumuni ya makala haya yalikuwa kubaini aina ya nyenzo katika ufundishaji wa Fasihi Simulizi ya Ki

Matumizi Ya Lakabu Za Wanafunzi Kama Mkakati Wa Kurahisisha Ufundishaji Na Ujifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Nchini Tanzania

Miongoni mwa sehemu ambazo lakabu hutumika ni katika ufundishaji na ujifunzaji wa lugha ya kigeni (L

Hali ya Kipindi cha Kupigania Uhuru na Mabadiliko ya Kimaudhui ya Ushairi wa Kiswahili Kati ya Miaka 1930 Hadi 1960 Nchini Tanzania

Makala hii inachunguza jinsi hali ya kipindi cha kupigania uhuru ilivyochochea mabadiliko ya kimaudh

Viwango vya Matumizi ya Ufundishaji Mahuluti katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu vya Umma Nchini Kenya

Lengo la makala hii ni kubainisha kiwango cha matumizi ya Ufundishaji Mahuluti katika ufundishaji na

Nafasi ya Nyimbo katika Ufundishaji wa Msamiati wa Kiswahili kwa Watoto wa Elimu ya Awali

Lengo kuu la makala haya ni kuonesha nafasi ya nyimbo katika ufundishaji wa msamiati wa lugha ya Kis