Logo Lanfrica
  • Home
  • Atlas
  • Insights
  • Docs
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. All rights reserved. All copyrights of the resources shown on the Lanfrica website belong to the original copyright holders, unless explicitly stated otherwise.

VYANZO VYA MISIMU KWA WANAFUNZI KATIKA KISWAHILI

Domain:

natural language processing
Creator:
Edi
Publisher:
Uta
Host:
Makala hii inachunguza vyanzo vya misimu kwa wanafunzi katika Kiswahili. Mtafiti ametumia mbinu za hojaji, usaili na uchambuzi wa matini. Mtafiti aligawa hojaji 15 kwa wanachuo 15 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Chuo hiki kinapatikana katika Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania. Aidha, mtafiti alisoma nyaraka zinazohusiana na mada husika kama vile: majarida na tasinifu. Makala hii imeongozwa na Nadharia ya Uchanganuzi wa Kimaeneo ya Fishman (1972). Data ya makala hii imechambuliwa kwa kutumia mkabala wa maelezo. Matokeo ya makala hii yamebainisha kuwa wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na kutumia msamiati sanifu pia hutumia misimu kutoka katika nyanja tofautitofauti katika mawasiliano yao ya kila siku. Mtafiti amechunguza misimu inayotokana na uwanja wa sanaa, siasa na michezo. Makala hii ni muhimu kwa wanaisimu kwani inabainisha misimu mbalimbali inayotumiwa na wanachuo wa chuo husika. Pia misimu tofautitofauti inayohusiana na nyanja za utani, soka na sanaa. Hii itatoa msukumo kwa wasanifishaji wa lugha ya Kiswahili kusanifisha misimu husika. Makala inapendekeza kuwa watafiti wa lugha wachunguze misimu inayotokana na mitandao ya kijamii, aina mbalimbali za misimu, misimu inayotumika katika maeneo mbalimbali kama vile shuleni, vijiweni, hospitalini na maofini.

Visit

doi.org

Languages

ChichewaKwaSwahiliSwahili, CoastalSwahili, Congo

Similar

Vyanzo vya Makosa ya Kimofofomolojia Miongoni mwa Wanafunzi wa Kitachoni Wanapojifunza Kiswahili kama Lugha ya PiliVipengele ya Kimofolojia vya Lugha ya Kihehe Vinavyotofautiana na Vipengele vya Kimofolojia vya Kiswahili na Utokeaji Wake kwa WanafunziChangamoto za Kipragamatiki kwa Wanafunzi wa Kiswahili Nchini RwandaUtaratibu wa Vipengele vya Kirai Nomino katika KiswahiliAthari za Kimofolojia za Lugha ya Kihehe katika Ujifunzaji wa Kiswahili kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoa wa IringaUdondoshaji wa Vipashio katika Vichwa vya Magazeti ya Kiswahili

Vyanzo vya Makosa ya Kimofofomolojia Miongoni mwa Wanafunzi wa Kitachoni Wanapojifunza Kiswahili kama Lugha ya Pili

Lugha ya Kiswahili kama lugha ya taifa na rasmi nchini Kenya imepanda kihali, kihadhi na kuwa na maj

Vipengele ya Kimofolojia vya Lugha ya Kihehe Vinavyotofautiana na Vipengele vya Kimofolojia vya Kiswahili na Utokeaji Wake kwa Wanafunzi

Utafiti huu umechunguza athari za kimofolojia za lugha ya Kihehe katika ujifunzaji wa Kiswahili kama

Changamoto za Kipragamatiki kwa Wanafunzi wa Kiswahili Nchini Rwanda

Makala haya yanalenga kuchunguza changamoto za kipragmatiki kwa wanafunzi wa Kiswahili nchini Rwanda

Utaratibu wa Vipengele vya Kirai Nomino katika Kiswahili

Lugha zote ulimwenguni huwa na sheria zake zinazohusu mfuatano wa maneno katika sentensi. Hivyo basi

Athari za Kimofolojia za Lugha ya Kihehe katika Ujifunzaji wa Kiswahili kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoa wa Iringa

Utafiti huu umechunguza athari za kimofolojia za lugha ya Kihehe katika ujifunzaji wa Kiswahili kwa

Udondoshaji wa Vipashio katika Vichwa vya Magazeti ya Kiswahili

Uandishi wa magazeti umeonekana kuwa wa kipekee kwani hutumia mitindo mbalimbali ya uandishi ukiwamo