Logo Lanfrica
  • Accueil
  • Atlas
  • Analyses
  • Documentation
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. Tous droits réservés. Tous les droits d'auteur des ressources affichées sur le site Web Lanfrica appartiennent aux détenteurs de droits d'auteur d'origine, sauf indication contraire explicite.

Dhima za Kipragmatiki za Usemi ‘Bwana Yesu Asifiwe’

Domaine:

natural language processing

Type de record:

paper
Créateur:
Mag
Éditeur:
Wal
Hôte:
Ikisiri Bwana Yesu asifiwe ni miongoni mwa semo ambazo hutumiwa mara kwa mara na baadhi ya waumini wa makanisa ya Kikristo. Licha ya usemi huo kuwa na maana yake ya msingi, hutumiwa kwa dhima mbalimbali za kipragmatiki. Makala hii inalenga kuchunguza dhima hizo ili kuongeza maarifa kuhusu namna muktadha unavyochangia kupata maana katika lugha. Matokeo kutoka katika sharika tatu za Kanisa la Kilutheri yanaonesha kwamba usemi Bwana Yesu asifiwe una dhima mbalimbali, zikiwamo kusalimia, kuanzisha mazungumzo, kuziba pengo la ukimya, kusisitiza jambo na kuchangamsha waumini. Kwa kuzingatia matokeo haya, makala hii inahitimisha kwamba dhima za usemi Bwana Yesu asifiwe zinaweza kueleweka vizuri pale msikilizaji anapohusisha muktadha wa kiutamaduni, kipragmatiki na kilongo husika.

Visit

doi.org

Languages

AmbaAnuakKwaNuni, SouthernVengo

Similaires

Dhima za Kipragmatiki za Kialami Pragmatiki ‘ah’ katika Mazungumzo ya KiswahiliDhima za Tungo za Malezi katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano kutoka Tenzi TeuleUchunguzi Wa Dhima Na Mbinu Za Uundaji Wa Majina Ya Watu Yanayotokana Na Semi Za Kinyankole“Wahenga walisema dalili ya mvua...” Uchunguzi wa Dhima za Viashiria vya Utendaji wa Methali katika Nyimbo za DansiTamathali za Usemi, Mbinu Rejeshi na Taswira katika Utenzi wa Vita vya Uhud

Dhima za Kipragmatiki za Kialami Pragmatiki ‘ah’ katika Mazungumzo ya Kiswahili

This study examines the pragmatic functions of the pragmatic markers ah in spoken Kiswahili. The dat

Dhima za Tungo za Malezi katika Fasihi ya Kiswahili: Mifano kutoka Tenzi Teule

Malezi ni suala muhimu katika jamii na ni dhamira iliyowashughulisha wanafasihi mbalimbali, ikiwamo

Uchunguzi Wa Dhima Na Mbinu Za Uundaji Wa Majina Ya Watu Yanayotokana Na Semi Za Kinyankole

Utafiti huu unahusu uchunguzi wa dhima na mbinu za uundaji wa majina ya watu yanayotokana na semi za

“Wahenga walisema dalili ya mvua...” Uchunguzi wa Dhima za Viashiria vya Utendaji wa Methali katika Nyimbo za Dansi

Methali ni utanzu unaotumiwa katika mawasiliano ya kawaida na katika utendaji wa tanzu mbalimbali z

Tamathali za Usemi, Mbinu Rejeshi na Taswira katika Utenzi wa Vita vya Uhud

Katika makala hii, tutaangazia jinsi tamathali za usemi, mbinu rejeshi pamoja na taswira vilivyotumi