Hii ni repository kwajili ya kuendelea kijifunza web technology ikiwemo github kwa vitendo
# 🌍 Orodha ya Developers wa Kiswahili
> Mradi wa open source wa kukusanya developers wanaojifunza na kufanya kazi kwa Kiswahili Afrika Mashariki.
---
## 🎯 Mradi Huu ni Nini?
**Orodha ya Developers wa Kiswahili** ni website inayoorodhesha developers wote wanaojifunza coding kwa Kiswahili Afrika Mashariki — Tanzania, Kenya, Uganda, na zaidi.
Kila developer anaongeza **kadi yake mwenyewe** kwa Pull Request — na jina lake linaonekana duniani! 🌍
---
## 🌐 Angalia Website Live
👉 **
codeforlifeacademy.github.io
---
## ➕ Jinsi ya Kujiongeza Orodha
### Hatua ya 1 — Fork Mradi Huu
Bonyeza kitufe cha **"Fork"** juu kulia ya ukurasa huu.
### Hatua ya 2 — Clone Fork Yako
```bash
git clone
github.com
cd swahili-developers
```
### Hatua ya 3 — Tengeneza Branch Yako
```bash
git checkout -b kuongeza-jina-lako
```
### Hatua ya 4 — Unda Faili Yako kwenye developers/
Tengeneza faili mpya: `developers/jina-lako.md`
```markdown
# Jina Lako 👨💻
## Kuhusu Mimi
- 📍 **Mji:** Mji Wako, Nchi Yako
- 🎓 **Nilianza:** Mwezi Mwaka
- 💼 **Hali:** Inajifunza / Inapatikana / Inafanya Kazi
## Ujuzi Wangu
- 🐍 Python
- 🌐 HTML
- 🎨 CSS
- ⚡ JavaScript
- 🐙 Git & GitHub
## Miradi Yangu
| Mradi | Teknolojia | Kiungo |
|-------|------------|--------|
| Portfolio | HTML, CSS, JS | Tazama |
| Contact Book | Python | Tazama |
## Viungo Vyangu
- 🐙 GitHub:
github.com
- 🌐 Portfolio: jina-lako.github.io
## Ndoto Yangu ya Tech
*"Andika ndoto yako ya kutengeneza nini kwa teknolojia..."*
---
*Nimejifunza coding kwa Kiswahili kupitia Code For Life Academy 🚀*
```
### Hatua ya 5 — Ongeza Kadi Yako kwenye index.html
Fungua `index.html`, tafuta sehemu inayosema:
```html
```
Ondoa alama za maoni ` ` na ubadilishe taarifa zako:
```html
👨💻
Jina Lako Hapa
📍 Mji Wako, Nchi
📚 Inajifunza
🐍 Python
🌐 HTML
🎨 CSS
"Ndoto yako ya tech hapa..."
🐙 GitHub
🌐 Portfolio
```
> ⚠️ **Muhimu:** Badilisha `data-ujuzi`, `data-mji`, n …