jifunze hacking kwa lugha rahisi ya kiswahili
# Cyber Mwalimu
Karibu kwenye repository yangu ya kujifunza Cybersecurity.
## Topics
- Linux Commands
- Termux
- Networking
- Kali Linux
- Security Tools
- Python Scripts
## Lengo
Kujifunza na kushiriki elimu ya cybersecurity kwa njia salama na ya kimaadili.
## Author
fizosp