# 🇹🇿 Utamaduni wa Tanzania — Digital Project
Mradi huu ni mfumo wa kidijitali ulioundwa kwa ajili ya kutangaza na kuhifadhi urithi wa kitamaduni wa makabila mbalimbali ya Tanzania kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya wavuti.
## 🚀 Kuhusu Mradi
Lengo kuu ni kuwasilisha taarifa za asili kupitia kadi za habari (Information Cards), picha za kitamaduni, na vionjo vya sauti ili kuleta uelewa wa kina kuhusu urithi wetu.
## 🛠️ Teknolojia Zilizotumika
Zana zilizotumika katika ujenzi wa mradi huu:
* **HTML5** — Muundo wa kurasa (Structure).
* **CSS3** — Urembo na mpangilio wa kishua (Styling & Layout).
* **JavaScript (JS)** — Utendaji na mifumo ya sauti (Interactivity).
* **GitHub Pages** — Hosting na kurushia website hewani.
## 📂 Muundo wa Mafaili (File Structure)
* `index.html` — Ukurasa mkuu wa mradi.
* `Style.css` — Faili la urembo na mpangilio.
* `script.js` — Faili la utendaji wa JavaScript.
* `assets/` — Folder lenye picha na sauti za asili.
## 🌐 Link ya Website
Unaweza kuiona kazi hii ikiwa hewani hapa:
👉 Bonyeza hapa kufungua Website
---
**Imeandaliwa na:** [Iddy Kasagula]
**Technical Status:** Project Live & Active
**Mwaka:** 2026