Swahili language translation of RimWorld
RimWorld Swahili
================
Hii ni tafsiri ya Kiswahili ya mchezo wa tarakilishi wa RimWorld.
Enda hapa kwa maelezo ya leseni:
ludeon.com
Official Translators:
---------------------
- Kingsley
Ikiwa unataka kujumuishwa katika orodha ya watafsiri, kuna sheria moja tu:
Lazima uhusike na kazi ya utafsiri kwa toleo kubwa mbili za Rimworld.
Ikiwa umefanya hivyo na hutaki kutajika, unaruhusiwa kubadilisha faili ya LanguageInfo.xml.