Kitabu hiki kimetokana na khutba aliyoitoa Sheikh Nurdin Kishki katika mskiti wa Ihsaan vetenari, Tanzania tarehe 01/05/2009. kutokana na umuhimu wa khutba hii kwa waislamu, Nyehunge It Support waliamua kuikusanya khutba hiyo kutoka katika kitabu kilichoandikwa na Saimu Gwao pamoja na Ukhti Fatma J ili kiwe na manufaa kwa wasomaji. Endapo kutatokea makosa yoyote ya kimaandishi au ya kumnukuu sheikh Nurdin Kishki vibaya, ieleweke kua hayo ni makosa ya kibinadamu ya waandaaji.
Ndoa
====