Logo Lanfrica
  • Accueil
  • Atlas
  • Analyses
  • Documentation
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. Tous droits réservés. Tous les droits d'auteur des ressources affichées sur le site Web Lanfrica appartiennent aux détenteurs de droits d'auteur d'origine, sauf indication contraire explicite.

Je, Kuna Matapo katika Fasihi Simulizi?

Domaine:

natural language processing

Type de record:

paper
Créateur:
Kib
Éditeur:
Eas
Hôte:
Makala hii inahusu matapo na namna yanavyojitokeza katika fasihi simulizi. Fasihi ni sanaa inayotumia lugha na vitendo kuwasilisha ujumbe kuhusu maisha ya binadamu. Fasihi simulizi ndiyo fasihi mama na iliyo na historia ndefu. Hata hivyo, wataalamu wengi wamekuwa wakishughulikia dhana ya matapo katika fasihi andishi bila kuzingatia uwepo wa matapo katika fasihi simulizi ya Kiswahili. Makala inalenga kuyaweka wazi matapo ya fasihi simulizi ya Kiswahili ili kubaini mchango wake katika Sanaa. Vilevile, Makala yanalenga kutathmini matapo hayo kwa kutumia mifano kutoka katika mazingira halisi ya jamii. Utafiti ulifanywa kwa kutumia mbinu ya kiethonografia iliyohusisha kushiriki, kushuhudia na kuhoji pamoja na udurusu wa nyaraka zilitumika katika kukusanya nyimbo na vipengele mbalimbali vya fasihi simulizi katika kila tapo au kipindi. Nadharia ya Ujumi wa Kinudhuma na ile ya Wigo au Uigaji (Ethnopoetics and Emic Theory) ndizo zilizotumika katika kufanikisha utafiti huu. Uchanganuzi wa data na matokeo ulifanywa kwa kutumia mkabala wa kitaamuli. Makala hii imedhihirisha kuwa matapo yaliyopo katika fasihi andishi; Usasa na Usasaleo, ndiyo hujulikana kama Ukale na Ujadi katika fasihi simulizi ya Kiswahili. Aidha, makala imependekeza kufanyika kwa tafiti nyingine mbalimbali katika fasihi simulizi

Visit

doi.org

Languages

KwaMaasaiSwahiliSwahili, CoastalSwahili, Congo

Licenses

http://creativecommons.org/licenses/by/4.0

Similaires

MUINGILIANO MATINI KATIKA FASIHI: MFANO WA VIPERA VYA FASIHI SIMULIZI NA MASHAIRI ANDISHI YA KISWAHILIVipengele vya Fasihi Simulizi Vinavyooana na Hali Katika Taaluma ya SheriaAina ya Nyenzo Katika Ufundishaji wa Fasihi Simulizi ya Kiswahili Katika Shule za Sekondari Nchini KenyaNafasi Ya Fasihi Simulizi Katika Kuwasilisha Ujumbe Kisheria: Mfano wa Uendeshaji Kesi Za Kitamaduni Miongoni Mwa BabukusuMchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi Katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya ya Kufa KuzikanaNafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watoto

MUINGILIANO MATINI KATIKA FASIHI: MFANO WA VIPERA VYA FASIHI SIMULIZI NA MASHAIRI ANDISHI YA KISWAHILI

Vipengele vya Fasihi Simulizi Vinavyooana na Hali Katika Taaluma ya Sheria

Utafiti ulilenga kubainisha vipengele maalum vya Fasihi Simulizi vinavyooana na hali katika taaluma

Aina ya Nyenzo Katika Ufundishaji wa Fasihi Simulizi ya Kiswahili Katika Shule za Sekondari Nchini Kenya

Madhumuni ya makala haya yalikuwa kubaini aina ya nyenzo katika ufundishaji wa Fasihi Simulizi ya Ki

Nafasi Ya Fasihi Simulizi Katika Kuwasilisha Ujumbe Kisheria: Mfano wa Uendeshaji Kesi Za Kitamaduni Miongoni Mwa Babukusu

Utafiti uliazimia kubainisha nafasi ya Fasihi Simulizi katika kuwasilisha ujumbe kisheria. Ulionyesh

Mchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi Katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya ya Kufa Kuzikana

Usomaji wa fasihi katika kipindi cha sasa unabainisha idadi kubwa ya waandishi kutoka jamii zisizo W

Nafasi ya Tashbihi katika Kufanikisha Maudhui katika Fasihi ya Watoto

Makala haya yalichunguza jinsi wasanii wa vitabu vya fasihi ya watoto wamefuma tashbihi katika kazi