Logo Lanfrica
  • Accueil
  • Atlas
  • Analyses
  • Documentation
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. Tous droits réservés. Tous les droits d'auteur des ressources affichées sur le site Web Lanfrica appartiennent aux détenteurs de droits d'auteur d'origine, sauf indication contraire explicite.

Mtindo wa Uhalisiajabu katika Riwaya ya Kiswahili

Type de record:

paper
Créateur:
Ste
Éditeur:
Afr
Hôte:
Mijadala mbalimbali imefanywa na wataalamu na wahakiki wa kazi za fasihi kuhusu mtindo wa uhalisiajabu. Miongoni mwake ni ile inayobainisha chanzo chake katika fasihi ya Kiswahili, athari za matumizi yake, na namna inavyoweza kuakisi hali halisi ya maisha katika jamii husika. Pamoja na mijadala hiyo kuweka misingi katika uelewekaji wa kazi za fasihi zinazotumia mtindo wa uhalisiajabu, suala la aina za mtindo wa uhalisiajabu halijajadiliwa kwa kuzingatia upekee na umuhimu wake. Makala hii imebainisha aina hizo kama zinavyojitokeza katika riwaya za Kiswahili za kihalisiajabu kwa kurejelea mifano kutoka riwaya za Nagona (Kezilahabi, 1990), Bina – Adamu! (Wamitila, 2002) na Babu Alipofufuka (Mohammed, 2001). Data ilikusanywa maktabani katika vitabu teule kwa kutumia mbinu ya usomaji wa matini. Uchambuzi, uhakiki na uwasilishaji wa data uliongozwa na Nadharia ya Uhalisia kwa kutumia mkabala wa kitaamuli. Kwa kuzingatia kigezo cha kimaana, makala imebainisha aina sita za uhalisiajabu ambazo ni uhalisiajabu fantasia, tarazi, fifi, wa kimajazi, tashihisi na uhalisiajabu nasibishi.

Visit

doi.org

Languages

KwaSwahiliSwahili, CoastalSwahili, Congo

Similaires

Uhakiki wa Mtindo katika Riwaya ya Kiswahili: Mifano Riwaya za Kidagaa Kimemwozea na Chozi la HeriUforensiki katika Ujumi wa Riwaya Pendwa ya Kiswahili: Uchambuzi wa Riwaya ya “Kikosi cha Kisasi”Wahusika wa Kivisasili na Athari yake katika Riwaya ya KiswahiliUamilifu wa Ngazi ya Utambuzi katika Riwaya Teule za KiswahiliMchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi Katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya ya Kufa KuzikanaUbainikaji wa aina za ukatili wa watoto katika fasihi ya Kiswahili ya watoto: Mifano kutoka riwaya teule

Uhakiki wa Mtindo katika Riwaya ya Kiswahili: Mifano Riwaya za Kidagaa Kimemwozea na Chozi la Heri

Utafiti huu ulikusudia kuchanganua matumizi ya mtindo katika riwaya za Kidagaa Kimemwozea (2012) ya

Uforensiki katika Ujumi wa Riwaya Pendwa ya Kiswahili: Uchambuzi wa Riwaya ya “Kikosi cha Kisasi”

English version This paper aims to explore forensic aesthetics in Swahili literature showing h

Wahusika wa Kivisasili na Athari yake katika Riwaya ya Kiswahili

Wahusika ni kipengele muhimu cha kazi yoyote ya fasihi. Umuhimu wake unatokana na ukweli kwamba ujit

Uamilifu wa Ngazi ya Utambuzi katika Riwaya Teule za Kiswahili

Makala haya yanachunguza ngazi ya utambuzi na uamilifu wake katika riwaya za Kiswahili zilizoteuliwa

Mchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi Katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya ya Kufa Kuzikana

Usomaji wa fasihi katika kipindi cha sasa unabainisha idadi kubwa ya waandishi kutoka jamii zisizo W

Ubainikaji wa aina za ukatili wa watoto katika fasihi ya Kiswahili ya watoto: Mifano kutoka riwaya teule

Makala hii imeangazia aina za ukatili wa watoto katika riwaya za Siku Njema (Walibora, 1996), Tumain