Logo Lanfrica
  • Accueil
  • Atlas
  • Analyses
  • Documentation
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. Tous droits réservés. Tous les droits d'auteur des ressources affichées sur le site Web Lanfrica appartiennent aux détenteurs de droits d'auteur d'origine, sauf indication contraire explicite.

Siník! Vitendawili vya Kigorwaa

Domaine:

natural language processing

Type de record:

paper
Créateur:
Mas
Éditeur:
Zenodo
Hôte:avatar
Utanzu wa vitendawili ni miongoni mwa tanzu kongwe wa fasihi simulizi ambao umekuwa na umuhimu wake katika kuiburudisha jamii kwa karne nyingi. Vitendawili ni utanzu uliosheni matumizi ya tamathali za semi, taswira, ishara na mafumbo ambavyo hujenga sitiari inayotakiwa kufumbuliwa kwa lengo la kupata ujumbe uliomo katika vitendawili. Pamoja na utajiri wa utumizi wa tamathali za semi katika utanzu huu wa vitendawili, bado kuna pengo kubwa la kiutafiti inayobainisha dhima ya taswira ya vitendawili katika fasihi simulizi za jamii ya ndogo ya Wagorwaa. Wasilisho huu utaeleza vitendawili vya kigorowa kwenye mazingira yake ya kijamii, pamoja na kuonyesha mifano kadhaa kuhusu utafiti kwenye tanzu wa fasihi simulizi huu. This talk has not gone through a process of peer review, and findings should therefore be treated as preliminary and subject to change. Acknowledgement and citation: Massani, Festo. 2020. Siník! Vitendawili vya Kigorwaa. Talk given at the Rift Valley Network Webinar Series. 19/11/2020

Visit

doi.orgzenodo.org

Languages

KwaNdogoVengo

Tags

Languages of TanzaniaTanzanian Rift Valley AreaSouth CushiticGorwaaRiddles

Licenses

Creative Commons Attribution 4.0 Internationalhttps://creativecommons.org/licenses/by/4.0/legalcodeOpen Accessinfo:eu-repo/semantics/openAccess

Similaires

Vitendawili vya Kigorwaa: maendeleo ya utafiti wa shahada ya umahiri

Vitendawili vya Kigorwaa: maendeleo ya utafiti wa shahada ya umahiri

Abstract: This presentation provides an update on Festo Massani's research into rid