Logo Lanfrica
  • Accueil
  • Atlas
  • Analyses
  • Documentation
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. Tous droits réservés. Tous les droits d'auteur des ressources affichées sur le site Web Lanfrica appartiennent aux détenteurs de droits d'auteur d'origine, sauf indication contraire explicite.

Uhalisia katika mashairi ya Kezilahabi (Dhifa)

Domaine:

natural language processing

Type de record:

paper
Créateur:
Jan
Éditeur:
Edi
Hôte:
Ikisiri Fasihi ni kioo cha maisha. Humulika jinsi jamii ilivyo kwa kuangazia masuala mbalimbali yanayoikumba. Waandishi wa kazi za fasihi huchota maudhui yao kutokana na matukio mbalimbali yanayoikumba jamii, nia yao ikiwa ni kuielimisha, kuiadilisha na kubeza maovu yanayotendeka. Makala hii inaangazia uhalisia katika mashairi ya Diwani ya Dhifa iliyoandikwa na Euphrase Kezilahabi (2008). Kupitia kwa mashairi yake, Kezilahabi ameichora hali halisi iliyopo katika mataifa mengi ya Afrika kwa kumulika matatizo mbalimbali yanayoyakumba. Anaupitisha ujumbe wake kwa kutoa taswira nzito zinazoundwa kutokana na matumizi ya tamathali mbalimbali za usemi ambazo zinaacha athari kubwa kwa wasomaji na kuwachochea kupata ari ya kupigania haki za wanyoge. Utafiti huu unaongozwa na nadharia ya uhalisia, ambayo kulingana na Wamitila 2002, iliwekewa msingi na mwanafalsafa Hegel katika kitabu chake kinachojulikana kama Aesthetik. Utafiti unawawezesha wanajamii hasa kutoka mataifa ya Kiafrika kuyabaini matatizo mbalimbali wanayokumbana nayo na jinsi ya kujinasua kutokana na minyororo ya umaskini. Abstract Literature is the mirror of society. It reflects the various issues that propel or ail society. Literary scholars derive various thematic concerns from the happenings in society with the view to educating, edifying and shunning unbecoming behavior in our society. This study focuses on realism in Euphrase Kezilahabi’s book, Dhifa. Kezilahabi, through his poems, depicts the economic, political and social realities affecting African countries. He employs striking imageries and literary stylistic features, which have positive effects on his readers, impelling them to advocate for their rights. This study is guided by realism theory, which according to Wamitila (2002), relies heavily on Hegel’s publication, The Aesthetics. The study will highlight on problems facing Africans as well their solutions.

Visit

doi.org

Languages

KwaYao

Licenses

https://creativecommons.org/licenses/by-nc-sa/4.0

Similaires

Mafumbo ya mwanamke katika mashairi teule ya MuyakaTamathali za Semi katika Mashairi ya Shaaban RobertUchanganuzi wa Sitiari Muono katika Mashairi Ruwaza ya KiswahiliKupambanua Mbinu za Uwakilishi wa Uhalisia-Ajabu Katika Mustakabali wa Uongozi Barani Afrika Katika Karne ya 21 Katika Riwaya ya Babu Alipofufuka.MASUALA YA KISIASA KATIKA USHAIRI WA KANDORO: MIFANO KUTOKA KATIKA MASHAIRI YAKE MOHAMED KHALFAN YUNUS TASINIFU YA PHD KATIKA KISWAHILI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA 2013UHALISIA wa MAUDHUI YA USALAMA KATIKA FASIHI ya WATOTO:MFANO wa RIWAYA ya KIJANA MPELELEZI,WAMITILA K.W (2003) na USIKU wa MANANE,KOBIA J. (2010)

Mafumbo ya mwanamke katika mashairi teule ya Muyaka

Ikisiri Azma kuu ya makala hii ni kuchanganua mafumbo ya mwanamke wa Kiswahili wa karne ya kumi na t

Tamathali za Semi katika Mashairi ya Shaaban Robert

Makala hii inachunguza Tamathali za Semi katika mashairi ya Shaaban Robert katika kazi zake za fasih

Uchanganuzi wa Sitiari Muono katika Mashairi Ruwaza ya Kiswahili

Mashairi ruwaza ni dhana tunayotumia kurejela mashairi ya ‘kimaajabu’ katika taaluma ya ushairi wa K

Kupambanua Mbinu za Uwakilishi wa Uhalisia-Ajabu Katika Mustakabali wa Uongozi Barani Afrika Katika Karne ya 21 Katika Riwaya ya Babu Alipofufuka.

Sanaa za kihalisia-ajabu husheheni usimulizi wa matukio yasiyotafsirika wala kufikirika kuwa na uyak

MASUALA YA KISIASA KATIKA USHAIRI WA KANDORO: MIFANO KUTOKA KATIKA MASHAIRI YAKE MOHAMED KHALFAN YUNUS TASINIFU YA PHD KATIKA KISWAHILI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA 2013

UHALISIA wa MAUDHUI YA USALAMA KATIKA FASIHI ya WATOTO:MFANO wa RIWAYA ya KIJANA MPELELEZI,WAMITILA K.W (2003) na USIKU wa MANANE,KOBIA J. (2010)

Makala hii inachunguza uhalisia wa maudhui ya usalama katika fasihi ya watoto kwa kuchanganua riwaya