Logo Lanfrica
  • Accueil
  • Atlas
  • Analyses
  • Documentation
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. Tous droits réservés. Tous les droits d'auteur des ressources affichées sur le site Web Lanfrica appartiennent aux détenteurs de droits d'auteur d'origine, sauf indication contraire explicite.

Iktibasi katika Methali za Waswahili

Domaine:

natural language processing

Type de record:

paper
Créateur:
KikLinSheChu
Éditeur:
Uni
Hôte:
Makala hii inalenga kuchunguza namna iktibasi inavyojitokeza katika methali za Waswahili. Iktibasi ni dhana ya Kiarabu kwa mujibu wa Karisa na Mwinyifaki (2013). Ni mbinu ya kuchota mafundisho ya Kurani Tukufu na Sunnah na kuyatumia katika fasihi bila kuonesha yametoka katika Kurani Tukufu na Sunnah (Karisa na Mwinyifaki, 2013). Maisha ya Waswahili licha ya kuongozwa na maadili yaliyomo katika mafundisho ya dini ya Kiislamu, methali zinazotumiwa na Waswahili hao katika mazungumzo yao ya kila siku pia huchangia kutilia nguvu mafundisho ya dini. Uchunguzi huu umechochewa na methali za jamii ya Waswahili ambazo zinaelekea kusheheni mafundisho ya dini. Makala hii imeongozwa na Nadharia ya Uislamu kwa mujibu wa mawazo ya Hashi (2011) katika kubainisha namna mafundisho ya Kurani na Hadith yanavyojitokeza katika methali za Waswahili. Matokeo ya utafiti yalionesha kwamba methali za Waswahili zilisheheni mafundisho ya maadili ambayo yalipatikana pia katika Kurani na Hadith. Uhusiano mwema kati ya binadamu na binadamu na binadamu na Mungu unapatikana katika methali, na Kurani na Hadith vilevile.

Visit

doi.org

Languages

AmbaDualaKwa

Similaires

Utambulisho wa Watoto katika Methali za KiswahiliUbainishaji wa ‘Sura Mbili’ katika Methali za KiswahiliUsawiri Chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za IgikuriaMitazamo ya Ontolojia ya Waswahili katika Riwaya Teule za Muhammed Said AbdullaMABADILIKO YA KIMAANA KATIKA METHALI ZA KIJINSIA: MIFANO KUTOKA JAMII YA WANYANKOLE“Wahenga walisema dalili ya mvua...” Uchunguzi wa Dhima za Viashiria vya Utendaji wa Methali katika Nyimbo za Dansi

Utambulisho wa Watoto katika Methali za Kiswahili

Tangu jadi, binadamu amekuwa akitumia methali kutekeleza dhima muhimu katika jamii. Kwa hivyo, wanaj

Ubainishaji wa ‘Sura Mbili’ katika Methali za Kiswahili

Tafiti mbalimbali zimewahi kufanywa kuhusu methali za Kiswahili. Tafiti hizo zimejikita mno kwenye f

Usawiri Chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za Igikuria

Makala hii imechunguza usawiri chanya wa hadhi ya mwanamke katika methali za Igikuria. Swala la usaw

Mitazamo ya Ontolojia ya Waswahili katika Riwaya Teule za Muhammed Said Abdulla

Makala hii inafafanua namna mitazamo ya jamii ya Waswahili katika riwaya teule za Muhammed Said Abdu

MABADILIKO YA KIMAANA KATIKA METHALI ZA KIJINSIA: MIFANO KUTOKA JAMII YA WANYANKOLE

Makala hii inachunguza mabadiliko ya kimaana katika methali za kijinsia katika jamii ya Wanyankole.

“Wahenga walisema dalili ya mvua...” Uchunguzi wa Dhima za Viashiria vya Utendaji wa Methali katika Nyimbo za Dansi

Methali ni utanzu unaotumiwa katika mawasiliano ya kawaida na katika utendaji wa tanzu mbalimbali z