Logo Lanfrica
  • Accueil
  • Atlas
  • Analyses
  • Documentation
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. Tous droits réservés. Tous les droits d'auteur des ressources affichées sur le site Web Lanfrica appartiennent aux détenteurs de droits d'auteur d'origine, sauf indication contraire explicite.

Ubainishaji wa ‘Sura Mbili’ katika Methali za Kiswahili

Domaine:

natural language processing

Type de record:

paper
Créateur:
Jos
Éditeur:
Uni
Hôte:
Tafiti mbalimbali zimewahi kufanywa kuhusu methali za Kiswahili. Tafiti hizo zimejikita mno kwenye fasiri za maana, fafanuzi, uainishaji na maelezo ya kijumla. Juhudi hizo za awali zinaashiria kuwa, methali za Kiswahili ni ‘jungu kuu’ na zinahitaji uhakiki na utafiti wa kina. Kutokana na umuhimu wake katika jamii, zimekuwa zikipokezwa kimuktadha kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Kwa maana hii, zimekuwa ni vito vya kuhifadhi na kuwasilisha busara zinazojikita katika falsafa za jamii. Aidha, zimekuwa zikitumika zaidi katika ubainishaji na uelekezaji wa masuala muhimu ya jamii. Maelezo ya kijumla yamekuwa yakitolewa kuhusu methali hizo kwamba, ni ‘kauli fupi’ za kimapokeo. Huo ni uegemeo unaojikita kwenye sifa za kimuundo na kimaumbo. Mwelekeo huo hausaidii sana katika ubainishaji wa busara katika jamii husika. Kutokana na jinsi methali za Kiswahili zinavyotumiwa katika jamii, kuna namna mbili zinazojitokeza: ufupi na urefu wake. Nadharia ya Semiotiki imetumika katika kufafanulia sura hizo mbili kwa kuzingatia miktadha ya kijamii.

Visit

doi.org

Languages

AmbaBambili-BambuiKwaMwaghavulSwahiliSwahili, CoastalSwahili, Congo

Similaires

Utambulisho wa Watoto katika Methali za KiswahiliUsawiri Chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za IgikuriaDhima ya Vipengele vya Fani katika Uwasilishaji wa Ujumbe Unaorejelea Ugonjwa, Uuguzi na Tiba katika Methali teule za KiswahiliUCHUNGUZI WA USIMBAJI WA FOKASI KATIKA SENTENSI ZA KISWAHILIIktibasi katika Methali za Waswahili“Wahenga walisema dalili ya mvua...” Uchunguzi wa Dhima za Viashiria vya Utendaji wa Methali katika Nyimbo za Dansi

Utambulisho wa Watoto katika Methali za Kiswahili

Tangu jadi, binadamu amekuwa akitumia methali kutekeleza dhima muhimu katika jamii. Kwa hivyo, wanaj

Usawiri Chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za Igikuria

Makala hii imechunguza usawiri chanya wa hadhi ya mwanamke katika methali za Igikuria. Swala la usaw

Dhima ya Vipengele vya Fani katika Uwasilishaji wa Ujumbe Unaorejelea Ugonjwa, Uuguzi na Tiba katika Methali teule za Kiswahili

Maishani binadamu huathiriwa na magonjwa mbalimbali yasababishayo changamoto za kiafya, kijamii na k

UCHUNGUZI WA USIMBAJI WA FOKASI KATIKA SENTENSI ZA KISWAHILI

Iktibasi katika Methali za Waswahili

Makala hii inalenga kuchunguza namna iktibasi inavyojitokeza katika methali za Waswahili. Iktibasi n

“Wahenga walisema dalili ya mvua...” Uchunguzi wa Dhima za Viashiria vya Utendaji wa Methali katika Nyimbo za Dansi

Methali ni utanzu unaotumiwa katika mawasiliano ya kawaida na katika utendaji wa tanzu mbalimbali z