Logo Lanfrica
  • Accueil
  • Atlas
  • Analyses
  • Documentation
  • Sign in

© 2026 Lanfrica. Tous droits réservés. Tous les droits d'auteur des ressources affichées sur le site Web Lanfrica appartiennent aux détenteurs de droits d'auteur d'origine, sauf indication contraire explicite.

Mofolojia Isoshikanisho katika Kiswahili

Domaine:

natural language processing
Créateur:
Deo
Éditeur:
Eas
Hôte:
Makala hii inafafanua na kujadili mofolojia isoshikanisho katika Kiswahili na dhana ya mofimu. Baada ya kuelezea sifa bainifu za mofolojia mshikanisho na isoshikanisho, mifano kadha ya mofolojia hiyo katika Kiswahili inafafanuliwa. Mifano hiyo ni katika vionyeshi, uradidi, na ufupishaji wa majina na nomino. Violezo na ruwaza vinaelezwa kuwa muhimu katika fasili ya mofimu katika mofolojia isoshikanisho. Makala inabainisha mofimu za Kiswahili zinaundwa na vipandesauti na violezo. Kwa upande mwingine, violezo hivyo na mifano ya vifupisho vya majina kuwa silabi mbili inabainisha dhima kubwa ya arudhi na katika kuunda maneno ya Kiswahili

Visit

doi.org

Languages

Bambili-BambuiKunamaSwahiliSwahili, CoastalSwahili, Congo

Licenses

http://creativecommons.org/licenses/by/4.0

Similaires

Uyakinishi Na Ukanushi Katika KiswahiliMaongezi Katika Riwaya Za KiswahiliUCHAMBUZI WA UKANUSHI KATIKA KISWAHILI SANIFUUhulutishaji katika Lahaja za Kiswahili: Mifano Kutoka katika Kitenzi cha KipembaUtambulisho wa Watoto katika Methali za KiswahiliVYANZO VYA MISIMU KWA WANAFUNZI KATIKA KISWAHILI

Uyakinishi Na Ukanushi Katika Kiswahili

Lugha ni aina ya sauti ambazo watu wa lugha fulani hutumia kuwasiliana katika jamii. Lugha yoy

Maongezi Katika Riwaya Za Kiswahili

Makala hii inaangazia dhima ya maongezi katika riwaya ya Kiswahili. Riwaya ni mojawapo wa tanzu muhi

UCHAMBUZI WA UKANUSHI KATIKA KISWAHILI SANIFU

Uhulutishaji katika Lahaja za Kiswahili: Mifano Kutoka katika Kitenzi cha Kipemba

Mofolojia ya kitenzi cha Kipemba ina uhulutishaji wa kiasi kikubwa. Uhulutishaji huo, huenda unaleta

Utambulisho wa Watoto katika Methali za Kiswahili

Tangu jadi, binadamu amekuwa akitumia methali kutekeleza dhima muhimu katika jamii. Kwa hivyo, wanaj

VYANZO VYA MISIMU KWA WANAFUNZI KATIKA KISWAHILI

Makala hii inachunguza vyanzo vya misimu kwa wanafunzi katika Kiswahili. Mtafiti ametumia mbinu za h